Gospo hitz nusic ni blog inayotangaza na kuonesha kazi za muziki wa injili ndani na nje ya Tanzania, ambapo husaidia kazi za injili zipate kufahamika na kujurikana nje na ndani ya Tanzania.
Pia hutoa taarifa, habari na kutangaza kazi mbalimbali za waimbaji wakubwa na wale wa chini wanaochipukia katika kiwanda cha kazi za injili.
Lakini pia kutangaza matukio mbalimbali ambayo yanatokea, kama matamasha, mikutano na mengine mengi.
Kwa mara nyingine mwimbaji wa gosel Angel Bernard atakuwa jijini Mwanza katika Tour yake inayojulikana kama IT'S NATIONAL TOUR, ambapo ...
Ijumaa, 15 Julai 2016
GOODLUCK GOSBERT KUZINDUA ALBUM YA IPO SIKU
Goodlucky Gosbert wiki hii tarehe 17 atazindua alibum yake inayojulikana kwa jina la IPO SIKU, Atasindikizwa na Markia wa muziki wa injili Rose Muhando, Christina Shusho, Angel Bernard na wengine wengi, Usikose.
0 comments:
Chapisha Maoni