Ijumaa, 15 Julai 2016

ANGEL BERNARD NA IT'S NATIONAL TOUR JIJINI MWANZA

Kwa mara nyingine mwimbaji wa gosel Angel Bernard atakuwa jijini Mwanza katika Tour yake inayojulikana kama IT'S NATIONAL TOUR, ambapo hivi karibuni mwimbaji Paul Clement nae alikuwa Mwanza kwa kutumbuiza wakazi wa jiji hilo. Angel Bernard atatuiza katika kanisa la MICC lililopo Nyegezi jijini humo.

0 comments:

Chapisha Maoni