Alhamisi, 28 Julai 2016
Alhamisi, 21 Julai 2016
ANGEL BERNARD JUKWAANI
Katika moja ya picha ni mwimbaji wa nyimbo za injili Angel Beranard akiwa jukwaani akiimba katika uzinduzi wa album ya Goodluck Gosbert pale CCC Upanga.
SELFIE ILIOTIKISA KATIKA VYOMBO HABARI
Selfie ilitikisa katika vyombo vya habari wiki chache zilizopita na kuzungumziwa kama nikweli ilipigwa au ilitengenezwa.
MANONGA CLASSIC AZUNGUMZIA PROMOVER
Mwimbaji wa nyimbo za injili Manonga Classic, asema umoja wao wa waimbaji jijini Mwanza unaoundwa na waimbaji wa jiji hilo na unaojulikana kama Promover utadumu na utainua waimbaji wengi, hayo aliyazungumza katika wiki chache walipokuwa katika kikao cha kwanza kilichofanyika La Kailo Hotel jijini Mwanza.
YOUTH KINGDOM MINISTRIES DODOMA
Raphael JL anachukua nafasi hii kukualika kijana katika kambi ya vijana itakayofanyika Dodoma CENTRAL BIBLE COLLEGE
SIKU 8 ZA KUKUMBUKWA NA MUNGU
Usikose kuhudhuria Semina ya neno la mungu Mikocheni Mlima wa Moto kwa mama Rwakatere amabapo kutakuwa na siku 8 za kukumbukwa na Mungu, ambapo Bishop Rwakatale atahudumu akishirikiana na Mchungaji Amos Hulilo(MWANZA) na Mchungaji Noah Lukumay(DSM)
THE WORSHIPER CHARIT WORK
The Worshiper Charity Work inakualika kushiriki katika utoaji wa misaada na kutembelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu.
ANGEL BERNARD NA JIJINI MWANZA
Mwimbaji wa nyimbo za inili nchini Tanzania Angel Bernard ambae kwa sasa yuko katika tour inayojulikana kama IT'S ON NATIONAL TOUR tayari yuko jijini Mwanza tayari kwa kuwahudumia wakazi wa jiji hilo pale MICC Nyegezi.
Jumamosi, 16 Julai 2016
ANGEL BERNARD
Angel Bernard atakuwepo katika katika tamasha la uzinduzi wa album ya Goodluck Gosbert pale CCC Upanga
Ijumaa, 15 Julai 2016
HII NI KWA WAKAZI WA ARUSHA
Habari Maalum Arusha inakuletea siku ya SIKU YA SIFA kwa wakazi wa jiji la Arusha kuhuzuria na kubarikiwa, waimbaji watakao kuwepo ni pamoja na Solomoni Mdogo, God Surrender, Mnene Makweta, Esther Yohana, Shadracki Robert, B. Zabron na Arusha Mass Choir,,, USIKOSE
MREMBA MO KAJA NA WALELE
Baada ya kutoka na wimbo NYAMAZA, mwimbaji wa nyimbo za injili Mremba Moses maarufu kama Mremba MO toka jijini mwanza ameachia wimbo wake mwingine unaokwenda kwa jina la WALEWALE
CHAMUITA CHAZIDI KUTAMBULISHWA KANDA YA ZIWA
Chama cha muziki wa injili Tanzania CHAMUITA)( chazidi kutambulishwa jijini Mwanza, ambapo hivi karibuni viongozi wa chama hicho kwa kanda ya ziwa wametembea katika vyombo vya habari kutangaza chama hicho.
USIKOSE KATIKA UZINDUZI WA GOODLUCK GOSBERT
Usipange kukosa jumapili hii pale CCC Upanga katika uzinduzi wa album ya IPO SIKU wake Goodluck Gosbert.
ANGEL BERNARD NA IT'S NATIONAL TOUR JIJINI MWANZA
Kwa mara nyingine mwimbaji wa gosel Angel Bernard atakuwa jijini Mwanza katika Tour yake inayojulikana kama IT'S NATIONAL TOUR, ambapo hivi karibuni mwimbaji Paul Clement nae alikuwa Mwanza kwa kutumbuiza wakazi wa jiji hilo. Angel Bernard atatuiza katika kanisa la MICC lililopo Nyegezi jijini humo.
SELFIE ILIOTIKISA WIKI HII
Pata kufahamu SELFIE iliotikisa wiki hii kwa kuongelewa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
MASANJA MKANDAMIZAJI KUAGA UBACHELA
Masanja Mkandamizaji ajitoa kwenye chama cha wamabachela hapa nchini kwa kumchumbia dada wa kisukuma ajulikanae kwa jina Debora.
EMANUEL MWASASUMBE KUKAMILISHA VIDEO ALBUM YAKE
Mwimbaji wa nyimbo za injili toka jijini Mwanza Emanuel Mwasasumbe Mbioni kukamilisha Video album yake ya pili, kwa sasa yuko location, na baadae atakuwa jijini Dar es Salaam kukamilisha kazi yake kwa location za huko alisema.
GOODLUCK GOSBERT KUZINDUA ALBUM YA IPO SIKU
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)