Alhamisi, 21 Julai 2016

ANGEL BERNARD JUKWAANI

Katika moja ya picha ni mwimbaji wa nyimbo za injili Angel Beranard akiwa jukwaani akiimba katika uzinduzi wa album ya Goodluck Gosbert pale CCC Upanga.

SELFIE ILIOTIKISA KATIKA VYOMBO HABARI

Selfie ilitikisa katika vyombo vya habari wiki chache zilizopita na kuzungumziwa kama nikweli ilipigwa au ilitengenezwa.

MANONGA CLASSIC AZUNGUMZIA PROMOVER

Mwimbaji wa nyimbo za injili Manonga Classic, asema umoja wao wa waimbaji jijini Mwanza unaoundwa na waimbaji wa jiji hilo na unaojulikana kama Promover utadumu na utainua waimbaji wengi, hayo aliyazungumza katika wiki chache walipokuwa katika kikao cha kwanza kilichofanyika La Kailo Hotel jijini Mwanza.

YOUTH KINGDOM MINISTRIES DODOMA

Raphael JL anachukua nafasi hii kukualika kijana katika kambi ya vijana itakayofanyika Dodoma CENTRAL BIBLE COLLEGE

SIKU 8 ZA KUKUMBUKWA NA MUNGU

Usikose kuhudhuria Semina ya neno la mungu Mikocheni Mlima wa Moto kwa mama Rwakatere amabapo kutakuwa na siku 8 za kukumbukwa na Mungu, ambapo Bishop Rwakatale atahudumu akishirikiana na Mchungaji Amos Hulilo(MWANZA) na Mchungaji Noah Lukumay(DSM)